Mapema mwezi oktoba madaktari walionywa kuhusu mtindo hatari wa kabla ya mazoezi unaoitwa "dry scooping" ambao baadhi ya washiriki wa mazoezi wanafanya. Uliohusisha kula virutubisho vya poda badala ya ...
Washiriki wa mazoezi ya kwanza ya pamoja kwa wanawake wajawawazito wameiambia BBC kuwa wanataka serikali ya Rwanda kuendeleza mpango huo. Hii ni baada ya zaidi ya wanawake 100 wajawazito kushiriki ...
Magonjwa hayo yasiyoambukizwa yakiwemo Saratani ,shinikizo la damu ,kisukari yanachangia asilimia 50 ya wagonjwa wanaolazwa hospitali na asilimia 41 ya vifo vyote vinavyotokea nchini kila mwaka.
Maelfu ya wanajeshi wa Marekani na Ufilipino, walijiunga kwa mara ya kwanza na kikosi kikubwa zaidi cha wanajeshi wa Japani, kwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya kila mwaka, mazoezi yanayofanyika ...