Na lugha hiyo ilikuwa pekee miongoni mwa lugha za Afrika iliyotukuzwa hivyo kabla ya Kiswahili nacho kutangazwa hivi majuzi kuwa ni lugha rasmi ya AU. Idadi hasa ya wanaozungumza Kiswahili haijulikani ...
Bila shaka si kosa la lugha, ikiwa lugha fulani itatumika na majambazi, waasi au watu wowote waovu. Lugha ni chombo tu cha mawasiliano, waweza itumia kumbembeleza mke wako asikukimbie, na kinyume ...
Julai saba kila mwaka dunia inaadhimisha siku ya Kiswahili katika kutambua mchango wa lugha hiyo adhim katika kukuza utofauti wa kitamaduni, kujenga ufahamu na kukuza mjadala miongoni mwa jamii.
Leo hii, tunasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani, siku maalum ya kutambua na kuenzi thamani ya lugha ya Kiswahili kama chombo muhimu cha mawasiliano, utambulisho wa tamaduni, na daraja la maelewano ...
Kiswahili ni lugha ya taifa Tanzania na Kenya, na pia kinazungumzwa Uganda, DRC na visiwa vya Komoro. IPia kinazungumzwa kidogo Burundi, Rwanda, Kaskazini mwa Zambia, Malawi na Msumbiji. Neno ...
Siku hii ilitangazwa mwaka 2021 na Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO ili kuthamini lugha hii inayozungumzwa na watu zaidi ya 200 duniani. Mbali na kuwa lugha ya taifa ...
Tanzania imeutaka Umoja wa Afrika kuitambua lugha ya Kiswahili kama lugha ya asili ya Afrika, na imesema kwamba hatua hiyo italeta msukumo mpya wa kuenzi juhudi za ukombozi katika eneo la kusini mwa ...
Iwapo wapo sokoni, barabarani hata katika maeneo ya usafiri wa umaa wakaazi wanatumia kiswahili cha Lushi yaani cha jiji la Lubumbashi ambacho ni mchanga'nyiko wa maneno ya kiswahili na kifaransa.